Ni danganya toto au ?

Ni danganya toto au ?

BRAND

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
296
Reaction score
257
Kiongozi wa mikopo chuoni juzi ameleta taarifa ya haraka kwamba wale wote ambao wanataka kuongezewa mkopo na wale ambao pia hawana kabisa mkopo hata kama hawajaomba kwamba waandike majina na namba zao haraka zipelekwe bodi ya mikopo jumatatu ijayo,

kwangu hii imeniacha njia panda kidogo, kwani kiongozi mmoja hapa chuo amesema kunauwezekano eti wanataka kuzima sakata la iptl na escrow kwa namna fulani kupitia hiyo mihela inayotaka kuwatokea puani, niliandika jina ukizingatia naganga bila mkopo ingawaje binafsi sina imani na viongozi wa nchi hii ukizingatia wanafunzi kibao wamekosa mkopo,sasa hapa nawaza ni danganya toto au?
 
Sawa mkuu kwa tusi lako siku ya leo sisi tunasoma chuo mbuzi maana yake na sisi mbuzi ila Cha kwako wewe ndio chuo kikuu ambacho wanasoma binadamu kamili kitakuwezesha maisha yako yafanikiwe haraka pia kupata kazi haraka hata bila ya kuomba.!! Subiri ukue ndio utayaelewa maisha kama yana fuata status ya chuo ulichosoma au laaa,asante sana..!!

Utaratibu wa kuandika majina kwa ajili ya kufanya taratibu za kuwapatia mikopo wanafunzi waliokosa hua zinafanyika bila shaka ni vyuo vyote, hilo lililotokea hapo chuoni kwenu sio jambo geni na pia sio vyema kulihusisha na mtaji wa kisiasa.

Ni hayo tu cha msingi muombe mungu inaweza kua neema jina lako likapata mkopo.
 
Back
Top Bottom