NI Dar au Dodoma?

NI Dar au Dodoma?

dimatteo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
868
Reaction score
932
Naombeni kujua gharama za vyumba/nyumba za kupangisha, Naomba nijuzwe ni wapi kati ya Dar es salaam au Dodoma kuna gharama kubwa za kupangisha
Kwa kuangalia ubora wa nyumba husika,kama ikiwa katika mikoa hiyo tofauti
Ahsanteni karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too general mzee baba,ngumu kukujib,ungespecify ukubwa wa nyumba,maeneo na service utakayo iwepo bila hvyo mmmh.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu namaanisha kwa mfano umechukua master bedroom na varanda,then na jiko la kupikia na nyumba iwe ina tiles na juu gypsum
Sasa kwa Dar ikiwa maeneo labda ya Tabata segerea au kinyerez-kibaga na kwa Dodoma ikiwa maeneo ya pale Town kabisa kwa mfano mitaa sio mbali sana na CBE ....hapo gharama inakuwaje ukianza kulinganisha??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar pia inategemeana na jina la mtaa na ubora wa mtaa..mitaa ya kawaida chumba hakizidi 40
 
Naombeni kujua gharama za vyumba/nyumba za kupangisha, Naomba nijuzwe ni wapi kati ya Dar es salaam au Dodoma kuna gharama kubwa za kupangisha
Kwa kuangalia ubora wa nyumba husika,kama ikiwa katika mikoa hiyo tofauti
Ahsanteni karibuni
Kuishi dar unatakiwa uwe jasiri. Ni zaidi ya chuo. Nimeondoka pale sasa ni miaka zaidiya nane. Sirudi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dodoma Bado haiwezi fikia ghalama za Dsm ..kwa Dsm chumba cha kawaida ghalama ya chini ni kuanzia 40/= ila Dom unaweza lipa hata Kwa Siku buku

Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma sehemu gani wanalipa hivyo maana kama per day ni 1K ina maana kwa mwezi ni 30K ambayo hata dar unapata chumba cha hiyo bei.

All in all inategemea na eneo unalotaka kuishi.
 
Dodoma sehemu gani wanalipa hivyo maana kama per day ni 1K ina maana kwa mwezi ni 30K ambayo hata dar unapata chumba cha hiyo bei.

All in all inategemea na eneo unalotaka kuishi.
30k Kwa Dsm utapata maeneo ambayo mvua ikinyesha unawaza vitu vyako vitakuwa vishafika koko beach

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom