mkuu namaanisha kwa mfano umechukua master bedroom na varanda,then na jiko la kupikia na nyumba iwe ina tiles na juu gypsumToo general mzee baba,ngumu kukujib,ungespecify ukubwa wa nyumba,maeneo na service utakayo iwepo bila hvyo mmmh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huna aibu kuweka hiyo Avatar jamaniyaani Dodoma ufananishe na dar
Mbona hamna aibu watu wengine
Kuishi dar unatakiwa uwe jasiri. Ni zaidi ya chuo. Nimeondoka pale sasa ni miaka zaidiya nane. Sirudi tena.Naombeni kujua gharama za vyumba/nyumba za kupangisha, Naomba nijuzwe ni wapi kati ya Dar es salaam au Dodoma kuna gharama kubwa za kupangisha
Kwa kuangalia ubora wa nyumba husika,kama ikiwa katika mikoa hiyo tofauti
Ahsanteni karibuni
Dodoma sehemu gani wanalipa hivyo maana kama per day ni 1K ina maana kwa mwezi ni 30K ambayo hata dar unapata chumba cha hiyo bei.Dodoma Bado haiwezi fikia ghalama za Dsm ..kwa Dsm chumba cha kawaida ghalama ya chini ni kuanzia 40/= ila Dom unaweza lipa hata Kwa Siku buku
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha hahaha hahaKuishi dar unatakiwa uwe jasiri. Ni zaidi ya chuo. Nimeondoka pale sasa ni miaka zaidiya nane. Sirudi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
30k Kwa Dsm utapata maeneo ambayo mvua ikinyesha unawaza vitu vyako vitakuwa vishafika koko beachDodoma sehemu gani wanalipa hivyo maana kama per day ni 1K ina maana kwa mwezi ni 30K ambayo hata dar unapata chumba cha hiyo bei.
All in all inategemea na eneo unalotaka kuishi.