Ni dawa ama njia zipi zinaweza kupunguza kigugumizi kwa mtu mzima?

Ni dawa ama njia zipi zinaweza kupunguza kigugumizi kwa mtu mzima?

kimara Kimara

Member
Joined
Jul 7, 2024
Posts
80
Reaction score
173
Moja kwa moja kwenye mada, Naomba kuuliza Ni dawa gani ama njia zipi anaweza kutumia mtu (miaka 20's) mwenye Kigugumizi kikali.
 
Back
Top Bottom