kimara Kimara Member Joined Jul 7, 2024 Posts 80 Reaction score 173 Sep 27, 2024 #1 Moja kwa moja kwenye mada, Naomba kuuliza Ni dawa gani ama njia zipi anaweza kutumia mtu (miaka 20's) mwenye Kigugumizi kikali.
Moja kwa moja kwenye mada, Naomba kuuliza Ni dawa gani ama njia zipi anaweza kutumia mtu (miaka 20's) mwenye Kigugumizi kikali.