Ni dhahiri akina Dr Slaa, Dr Migiro, Masilingi na Wazee wengine sasa watarudi nyumbani kupisha damu changa!

Tupa kule majitu ya Jiwe akina Slaa aliowanunua kukomoa Chadema. Safi sana. Tupa kule Slaa. Akija anakuwa Katibu mkuu CCM
 
Wewe chawa wa ccm.
Hivi Migiro na Slaa hao ni wa kubeza?
Bila shaka Slaa ndiye balozi bora na mwenye ushawishi.
Pili Migiro ni mzoefu sana Kimataifa.
Labda Masilingi arudi home tu hana lolote.
Hoyce Temu naye ni level nyingine
 
Wewe chawa wa ccm.
Hivi Migiro na Slaa hao ni wa kubeza?
Bila shaka Slaa ndiye balozi bora na mwenye ushawishi.
Pili Migiro ni mzoefu sana Kimataifa.
Labda Masilingi arudi home tu hana lolote.
Hoyce Temu naye ni level nyingine
Umri ukifika lazima urudi nyumbani hakuna anayebezwa hapo.

Masilingi alimshughulikia Tundu Lisu kwenye mdahalo!
 
Kwani Slaa unamchukuliaje?? Yule ni akili kubwa sana.. Acha kupiga ramli zako.
Mkuu, tatizo Watanzania wengi wanadumbuliwa na wivu tu, we mtu anafikia mpaka hatuwa ya kuwataja majina mabalozi ambao wanataka warudishwe nyumbani!! Hiyo inawahusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…