Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Aliyewapeleka Ameenda zake Warudi tu nyumbani kumenogaUteuzi wa mabalozi wapya leo ni dhahiri utaendana na mabalozi hao kupangiwa vituo vipya na kwa maana hiyo mabalozi wazee wanastaafu na kurudi nyumbani.
Ni wazi Balozi Slaa, Balozi Migiro na balozi Masilingi watakuwa wameanza kufungasha.
Kazi Iendelee!
Hivi bado tunatekeleza diplomasia ya kibiashara? Maana ukiangalia CV za baadhi ya wateuliwa hazi- reflect hiyo vision - sio kwa kusomea au kuwahi kupractise.Uteuzi wa mabalozi wapya leo ni dhahiri utaendana na mabalozi hao kupangiwa vituo vipya na kwa maana hiyo mabalozi wazee wanastaafu na kurudi nyumbani.
Ni wazi Balozi Slaa, Balozi Migiro na balozi Masilingi watakuwa wameanza kufungasha.
Kazi Iendelee!
Aende kufanya nini chadema wakati chama chenyewe kinakata roho?Kwa akili za Dr Slaa anaweza kurudi Chadema!
Mkewe yuko Canada!Hao jamaa ni Oil chafu, wameshachoka na wamezeeka, ndio mwisho wao umefika.
Hivi kale kachangudoa kalikoolewa na Dr.Slaa katakubali kweli kurejea tena Tz? Thubutu, huenda katasaka danga la kizungu ili kabakie huko huko. Dr. Slaa ajiandae kurejea mwenyewe Tz kuja kula mihogo ya kule Mbulu!
Zama zake zimekwisha.
Ataenda kukifufua!Aende kufanya nini chadema wakati chama chenyewe kinakata roho?
Unaweza taja balozi mwenye tija. Mimi naona wote wanakuwa mapumzikoni kule njeMabalozi ambao miaka na miaka hawana tija kwa taifa wapumzishwe tu..
Ni afadhali akaanzisha chama chake kuliko kwenda chadema, atazoa wafuasi toka chadema na sisi tusiokuwa na vyamaAtaenda kukifufua!
Sasa mabalozi wapya ni aina ya Mahmood? Hivi kweli tupo serious na nchi hiiUteuzi wa mabalozi wapya leo ni dhahiri utaendana na mabalozi hao kupangiwa vituo vipya na kwa maana hiyo mabalozi wazee wanastaafu na kurudi nyumbani.
Ni wazi Balozi Slaa, Balozi Migiro na balozi Masilingi watakuwa wameanza kufungasha.
Kazi Iendelee!
Hao hao watatuvusha bwashee!Sasa mabalozi wapya ni aina ya Mahmood? Hivi kweli tupo serious na nchi hii
Ubalozi na Ukuu wa Mkoa siku hizi ni vijiwe vya Waliotumbuliwa nikikumbuka enzi za kina Salim Ahmed Salim, Balozi Sykes, Balozi Mpungwe, Balozi Kalaghe, Balozi Mahiga …nabaki nashika tama tuUnaweza taja balozi mwenye tija. Mimi naona wote wanakuwa mapumzikoni kuke nje
Watu wamesahau kuwa Slaa alikatiwa pochi la nguvu akaishi nje na familia yake. Ubalozi alipewa kama bakshishi ya ziada tu. Toka hapo anarudi Canada kuendelea na bata, shukrani kwa mwendazake na chama cha maulaji (CCM). Mihogo ilikuwa enzi alipokuwa akipambania CHADEMA.Mkewe yuko Canada!
Kwanza hii tabia ya kutumia wanajeshi wastaafu mara kwa mara siielewi. Sio kila kamanda mstaafu anakuwa na vigezo kuwa kiongozi serikalini hasa ngazi za kidiplomasia kama hizi.Ubalozi na Ukuu wa Mkoa siku hizi ni vijiwe vya Waliotumbuliwa nikikumbuka enzi za kina Salim Ahmed Salim, Balozi Sykes, Balozi Mpungwe, Balozi Kalaghe, Balozi Mahiga …nabaki nashika tama tu
Mwanajeshi aliezoea Nguvu nguvu na ubabe kamaliza Nguvu zake jeshini anaenda kutupwa Balozini kushughulisha Maafisa Ubalozi leo ofisin kesho Clinic
Uteuzi wa mabalozi wapya leo ni dhahiri utaendana na mabalozi hao kupangiwa vituo vipya na kwa maana hiyo mabalozi wazee wanastaafu na kurudi nyumbani.
Ni wazi Balozi Slaa, Balozi Migiro na balozi Masilingi watakuwa wameanza kufungasha.
Kazi Iendelee!
Jamani lakini msiwe mnapenda kutetea 'underperformancy' kwa kivuli cha wivu....watu wa Diaspora huwa tunawaona kwa utendaji wao wa kazi....na wewe yawezekana ukawa mmoja wao... kazi iendelee.Mkuu, tatizo Watanzania wengi wanadumbuliwa na wivu tu, we mtu anafikia mpaka hatuwa ya kuwataja majina mabalozi ambao wanataka warudishwe nyumbani!! Hiyo inawahusu nini?
Yanarudi yale yale - please revisit your skewed comments hivi kisaikolojia zina dhilisha kitu gani kuhusu hulka yako?? Ni wazi una chuki binafsi na baadhi ya mabalozi ambao wako nje wakiwakilisha Taifa letu - mtu uwezi kuwa na maendeleo maishani mwako ukiwa driven na wivu na roho mbaya - nyie mna mamlaka gani yakumpangia Madam President afanye nini ahache nini? FYI you lot don't count at all - yaani kwa akili zenu za ajabu ajabu za kuto ona mbali hata umri aliyo ufikia Rais wetu nae mnamuona umri umekwenda hivyo hafahi!!!Mama Samia kafanya jambo kubwa sanaaa, yaani, kuna mabalozi walishajioni wao ni wazungu, wamekaa huko nje miaka na miaka, ni wakati sasa wa kubadili kwa kweli, wengine waingie, hata taasisi zote za serikali, wale wazee waliokaa ktk top Management kwa miaka na miaka ni kuwatoa tu, sbb miaka yote hiyo inawatosha kabisa, wengine sio watendaji kazi hata kidogo, wababaishaji tu, dawa kuwapumzisha haraka kabisa, wengine washike vijiti, Kazi iendelee
Yanarudi yale yale - please revisit your skewed comments hivi kisaikolojia zina dhilisha kitu gani kuhusu hulka yako?? Ni wazi una chuki binafsi na baadhi ya mabalozi ambao wako nje wakiwakilisha Taifa letu - mtu uwezi kuwa na maendeleo maishani mwako ukiwa driven na wivu na roho mbaya - nyie mna mamlaka gani yakumpangia Madam President afanye nini ahache nini? FYI you lot don't count at all - yaani kwa akili zenu za ajabu ajabu za kuto ona mbali hata umri aliyo ufikia Rais wetu nae mnamuona umri umekwenda hivyo hafahi!!!
Akili za kitoto kabisa - mara ooh kuna mabalozi wamekwisha jiona ni wazungu,mara ooh taasisi nyingi za Serikali zimejaa wazee wanapashwa kuondolewa na kuingizwa vijana as if unaweza kubadirisha badirisha uongozi Serikalini na Ubalozini like bolts in a machine!! Kama huna ajila tafuta kazi nyingine za kukuingizia kipato kuliko kushinda humu mkiwasema sema Watanzania wenzenu vibaya mpaka mnafikia hatuwa ya kuwataja majina!!! - Kumbuka mama Samia hawezi kusikiliza ngonjera zenu zilizo jaa uchonganishi.
Hakuna ramli hapo unadhani hao wapya wanaenda wapiAcheni ramli chonganishi
Mkuu ilo jina limenifanya nicheke sanaSasa mabalozi wapya ni aina ya Mahmood? Hivi kweli tupo serious na nchi hii