Ni dhahiri sasa kuwa Rais Samia ametambua kundi la akina Nape sio jema. Shujaa wa Afrika alikuwa sahihi kuwakataa

Mh Rais anapaswa kuwa imara zaidi ktk kipindi hiki kuliko chochote

As long as anatekeleza yote kwa mujibu ya kiapo chake cha kikatiba na kwa uzalendo uliotukuka..Mwenyezi Mungu yu pamoja nae.

Tanzania ni mali ya Watanzania hivyo hakuna yeyote mwenye monopoly ya utaifa..Vyeo,Mamlaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…