Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Imethibitka, imethibitika.
Kwa Sasa Macho na masiikio ya Watanzania Mamilioni kwa mamilion, mitandaoni na kqa ground wako Na Lissu.
Kila.mtu anaimba mabadilko halisi. Si wanaccm, si wanachadema wala wasio na vyama.
Kwenye Group Moja la Whatsapp lenye makada wakubwa na wadogo wa ccm nimewasikia wakisema Tundu Lissu anafaa kulipa nafasi ya Hayati Dr Magufuli.
Anafaa kuleta heshima, kulinsa Rasilimali za Taifa na kukomesha Rushwa.
Haiba ya Tundu Lissu ya kusema ukweli wa Mungu na ujasiri ina reflect haiba ya Hayati Magufuli enzi hizo akiwa Waziri wa Ujenzi jambo lililovutia Chama chake na system hadi kuteuliwa kuwa Rais.
Mitaani sasa fujo ni nyingi.
Imefika hatua wale jamaa walioenda Dodoma huku wakidhani wameenda kuchagua viongozi ambapo wagombea hawajulikani
Wamejichimbia huko ni wiki na zaidi, hata waandishi wa habari wamezikacha habari zao, media na social media wamejitenga nao.
Hata hapa JFs habari zao zimezimwa.
Sijajua kama ni uhujumu wanafanyiana au ndio Kuchokwa chama hicho kilichokaa madarakani kwa miama mingi manufaa kidogo.