Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Hujaeleweka badoWengi wanalalamika sana. Kuwa huu ni ubaya na utaratibu huu sio ridhaa ya wanaCCM majimboni.
Wanahoji kwa nini majina matatu yatoke Dodoma na kisha ndio yapigiwe kura?
Hujaelewa nini?Hujaeleweka bado
Kupitiswa majina matatu Dodoma ndio yaende majimboni,anayapitisha Nani Dodoma na Huko majimboni yanaenda kufanywaje?We unaeleza kama vile wote tunajua Hilo jambo!Hujaelewa nini?
Kuna asiejua?Kupitiswa majina matatu Dodoma ndio yaende majimboni,anayapitisha Nani Dodoma na Huko majimboni yanaenda kufanywaje?We unaeleza kama vile wote tunajua Hilo jambo!
Eleza kwanini mmekimbia uchaguzi?Hujaelewa nini?
Kama mgombea wa urais alipitishwa kisanii na mkatulia, ndio itakuwa hayo majina matatu? Mmegeuka chama cha machawa hata kukataa uhuni hadharani hamuwezi. Nenda kwenye vikao vyenu vya ndani ukapinge huo uhuni mliokuwa mkifumbia macho wakati wa kuhujumu wapinzani.Wengi wanalalamika sana. Kuwa huu ni ubaya na utaratibu huu sio ridhaa ya wanaCCM majimboni.
Wanahoji kwa nini majina matatu yatoke Dodoma na kisha ndio yapigiwe kura?
ππWengi wanalalamika sana. Kuwa huu ni ubaya na utaratibu huu sio ridhaa ya wanaCCM majimboni.
Wanahoji kwa nini majina matatu yatoke Dodoma na kisha ndio yapigiwe kura?
πππhovyoEleza kwanini mmekimbia uchaguzi?
We pumbavu nini? Mimi ni mwanaCCM?Kama mgombea wa urais alipitishwa kisanii na mkatulia, ndio itakuwa hayo majina matatu? Mmegeuka chama cha machawa hata kukataa uhuni hadharani hamuwezi. Nenda kwenye vikao vyenu vya ndani ukapinge huo uhuni mliokuwa mkifumbia macho wakati wa kuhujumu wapinzani.
Ukinunua ugomvi tunajua ndio nyienyie.We pumbavu nini? Mimi ni mwanaCCM?
Kuna uchaguzi hapo?.Eleza kwanini mmekimbia uchaguzi?
AAAMEN!!Mgombea Urais wamegundua hamna kitu...wakapitishia mlango wa uani...kwa wabunge wao ma mbu mbu mbu...wanatoka watoe majina 3, sijui mpaka Zanzibar watafanya hivyo??. Mm nawaombea tu wavurugane, wafarakane wakose kuelewana, wauane wapate misuko suko kuanzia kwenye familia zao, ndugu zao, koo zao na Kila anayewasapoti akumbane na magumu, kama wanatumia usafiri wa ndege basi iungue ikiwa hewani ama idumbukie bahalini, km ni gari liwake moto lianguke...mpaka watakapo PATA hofu na adabu ya kuheshimu na kuthamini binadam wengine.π
Mpaka kuuana mkuu πMgombea Urais wamegundua hamna kitu...wakapitishia mlango wa uani...kwa wabunge wao ma mbu mbu mbu...wanatoka watoe majina 3, sijui mpaka Zanzibar watafanya hivyo??. Mm nawaombea tu wavurugane, wafarakane wakose kuelewana, wauane wapate misuko suko kuanzia kwenye familia zao, ndugu zao, koo zao na Kila anayewasapoti akumbane na magumu, kama wanatumia usafiri wa ndege basi iungue ikiwa hewani ama idumbukie bahalini, km ni gari liwake moto lianguke...mpaka watakapo PATA hofu na adabu ya kuheshimu na kuthamini binadam wengine.π