johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakuna mkuu, karibu!TLP ina mtu? Nataka kuwa mgombea huko .
Usikariri mkuu!Kwa Tanzania ukijaribu kugombea Urais kupita upinzani ndo umepotea kabisa,
1.Mrema
2.Slaa
3.Lipumba
4.Lowassa
Hawa wako wapi sasa hivi?
Hawa ndo walikuwa vipenzi vya wapinzani nchini lakin wako wapi?
Mbaya zaid uwe mbunge kama Zitto au alivyokuwa slaa ndo ukishindwa urais unakuwa screpa kabisa,
Mkuu tupoUsikariri mkuu!
Asante sana.Hakuna mkuu, karibu!
Kakitelekeza siyo?
Kwa Tanzania ukijaribu kugombea Urais kupita upinzani ndo umepotea kabisa,
1.Mrema
2.Slaa
3.Lipumba
4.Lowassa
Hawa wako wapi sasa hivi?
Hawa ndo walikuwa vipenzi vya wapinzani nchini lakin wako wapi?
Mbaya zaid uwe mbunge kama Zitto au alivyokuwa slaa ndo ukishindwa urais unakuwa screpa kabisa,
Kwani kuwa mbunge unatakiwa uwe na nini?
Mnahangaika sana !!. Kwani Zitto akigombea u Rais kosa liko wapi wana CCM ???!!!Habari hizi nimezisikia pale mwananyamala kisiwani lilipokuwa tawi la Cuf ambalo sasa limebadilishwa na kuwa tawi la ACT wazalendo.
Sina mengi ya kusema ila naitafakari nafasi ya Tundu Antipas Lisu kama naye atagombea kupitia UKAWA sijui hali itakuwaje ila yajayo yanafurahisha.
Maendeleo hayana vyama!
Hela yako tu .Wataka kugombea mnapigwa mnada na mangi anayeshinda anapewa kuwa mgombea.Hata chadema ni pesa yako tu wagombea mnaingiizwa kwenye mnada the highest bidder anapewaTLP ina mtu? Nataka kuwa mgombea huko .
mboweKwa Tanzania ukijaribu kugombea Urais kupita upinzani ndo umepotea kabisa,
1.Mrema
2.Slaa
3.Lipumba
4.Lowassa
Hawa wako wapi sasa hivi?
Hawa ndo walikuwa vipenzi vya wapinzani nchini lakin wako wapi?
Mbaya zaid uwe mbunge kama Zitto au alivyokuwa slaa ndo ukishindwa urais unakuwa screpa kabisa,
Naona mkuu umekuja na nondo mpya baada ya watumishi kukupeleka kuzimu kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23]