We jamaa sijui wamekufanya nini chadema,yaani mpka kwenye ndoto unaitaja chademaHela yako tu .Wataka kugombea mnapigwa mnada na mangi anayeshinda anapewa kuwa mgombea.Hata chadema ni pesa yako tu wagombea mnaingiizwa kwenye mnada the highest bidder anapewa
Wewe nenda NCCR MageuziTLP ina mtu? Nataka kuwa mgombea huko .
Kule kwa Mrema kuzuri kuna nafasi ya wazi ila hakawii kunigeuka.Wewe nenda NCCR Mageuzi
Bwashee sasa mbona wewe unaacha mbege na kumzungumzia Magufuli anakuhusu nini?!...... We endelea kupata kisusio na mapupu hapo Ufipa wenzako tunavuka bahari!Mnahangaika sana !!. Kwani Zitto akigombea u Rais kosa liko wapi wana CCM ???!!!
Nyie si Maghufuli anawania ?! Hamridhiki ?! Hangaikeni na ya kwenu ,
Siyo mnataka m control na nyumba ya jirani. "HAYAWAHUSU "
KWA KWELI WIVU UNAWASUMBUA SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uchaguzi wa madiwani lini?Sio vibaya ukiwasaidia kupotea lakini nadhani nia yako hiyo haitafanikiwa. 2020 baado sana. Tungojee kwanza uchaguzi wa madiwani ndio tuanze ramli chonganishi
Haina mtu.TLP ina mtu? Nataka kuwa mgombea huko .
Acha propaganda za kitoto,mmeshauriwa na kada wenu Bollen tumieni propaganda mpya!!Habari hizi nimezisikia pale mwananyamala kisiwani lilipokuwa tawi la Cuf ambalo sasa limebadilishwa na kuwa tawi la ACT wazalendo.
Sina mengi ya kusema ila naitafakari nafasi ya Tundu Antipas Lisu kama naye atagombea kupitia UKAWA sijui hali itakuwaje ila yajayo yanafurahisha.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa Tanzania ukijaribu kugombea Urais kupita upinzani ndo umepotea kabisa,
1.Mrema
2.Slaa
3.Lipumba
4.Lowassa
Hawa wako wapi sasa hivi?
Hawa ndo walikuwa vipenzi vya wapinzani nchini lakin wako wapi?
Mbaya zaid uwe mbunge kama Zitto au alivyokuwa slaa ndo ukishindwa urais unakuwa screpa kabisa,
cc: Tawi la ACT wazalendo la kundus mwananyamala zamani Cuf!Acha propaganda za kitoto,mmeshauriwa na kada wenu Bollen tumieni propaganda mpya!!
Kweli kabisa!Haina mtu.
Ila jua kuwa mwenyekiti wa chama chako atampigia kampeni mgombea wa CCM.
Najua tabia zake hizo.Haina mtu.
Ila jua kuwa mwenyekiti wa chama chako atampigia kampeni mgombea wa CCM.
Yaani inakuwa ndio kaburi lakoKwa Tanzania ukijaribu kugombea Urais kupita upinzani ndo umepotea kabisa,
1.Mrema
2.Slaa
3.Lipumba
4.Lowassa
Hawa wako wapi sasa hivi?
Hawa ndo walikuwa vipenzi vya wapinzani nchini lakin wako wapi?
Mbaya zaid uwe mbunge kama Zitto au alivyokuwa slaa ndo ukishindwa urais unakuwa screpa kabisa,
Ya kupigwa virungu?ππππ abdul Nondo ataandika historia bila shaka
πππ ya kuwa mbunge kijana kbsss ...iv kasha graduate kweli ? Maana kama haja graduate itampa shida kidogoYa kupigwa virungu?
You mean habari hii umeisikia kwenye kijiwe cha "gahawa" na kashata na tayari ikawa thread?Habari hizi nimezisikia pale mwananyamala kisiwani lilipokuwa tawi la Cuf!
Amuulize Mbatia na Kimaro (r.i.p) ni mdogo anajidanganya hizi siasa za Afrika ukitaka kusifiwa utaishia bila degree ama ataungaunga kama mbatia na kimaro.πππ ya kuwa mbunge kijana kbsss ...iv kasha graduate kweli ? Maana kama haja graduate itampa shida kidogo
πππ inatakiwa awaone watu kama nyinyi muupe ushauri kidogoAmuulize Mbatia na Kimaro (r.i.p) ni mdogo anajidanganya hizi siasa za Afrika ukitaka kusifiwa utaishia bila degree ama ataungaunga kama mbatia na kimaro.
Tunajua huko nyuma yaliyotokea hawsa watoto wetu wa juzi hawafahsmu