Ni dhambi gani uliwahi kumsingizia shetani mpaka ukajishangaa?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kuna wakati tunatimba ishu ambazo hata shrletani mwenyewe anasanda na kushangaa.. Lakini kwa akili nyepesi za kibinadamu tukamsingizia yeye...!
Je ni kufanya matusi?

Wizi?

Ukafiri?

Ulozi?

Umbea/uchonganishi?

Mauaji yasiyo na hatia?

Uonevu?

Kujimwambafy?

Kula sefuli?

b2715088-77b4-4cba-8469-b7ced5e2ae84.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwongo

jamaa yangu mmoja alikuwa anakuja geto twende mahali ( kwa demu wake wamezinguana kisa ujinga wake) sasa nikawa sitaki kwenda nae. Kumbe na yeye ni muuni kama mm geto nikafunga mlango nipo ndani nikatoa ufunguo mlangoni akija akichungulia akute ufunguo haupo, sasa akapiga simu kwangu na wakati huo ananipigia kumbe yupo hapo nje kwenye dirisha langu na dirisha ujinga nliofanya nliliacha wazi. Akanipigia akaniuliza uko wapi nikamdanganya sipo geto

Sii akaamua kunirekedi kwa dirishani, akaniambia nimekuja geto nimekukosa. Baada yakukata simu kuchek WhatsApp naona voice niliyokuwa naongea nae na unajua iphone mic yake haidanganyi...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hahaha...

Ungemruka kwamba inakuaje ana edit sauti yako..
 
Back
Top Bottom