Ni dhambi gani uliwahi kumsingizia shetani mpaka ukajishangaa?

Uwongo

jamaa yangu mmoja alikuwa anakuja geto twende mahali ( kwa demu wake wamezinguana kisa ujinga wake) sasa nikawa sitaki kwenda nae. Kumbe na yeye ni muuni kama mm geto nikafunga mlango nipo ndani nikatoa ufunguo mlangoni akija akichungulia akute ufunguo haupo, sasa akapiga simu kwangu na wakati huo ananipigia kumbe yupo hapo nje kwenye dirisha langu na dirisha ujinga nliofanya nliliacha wazi. Akanipigia akaniuliza uko wapi nikamdanganya sipo geto

Sii akaamua kunirekedi kwa dirishani, akaniambia nimekuja geto nimekukosa. Baada yakukata simu kuchek WhatsApp naona voice niliyokuwa naongea nae na unajua iphone mic yake haidanganyi...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahaha...

Ungemruka kwamba inakuaje ana edit sauti yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…