Ni dhambi ujenzi wa madarasa ya Uviko ukaenda sambamba na nyumba za walimu?

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Hivi nani katuroga?
Hawa watoto tunaoenda kuwajaza maelfu na maelfu kwa pesa za msaada huku tukijipiga vifua na kutembelea vidole kana kwamba tumetoa mfukoni mwetu,
Kuna ugumu Gani angalau kuweka nyumba mbili mbili kila shule Ili kurahisisha na kuongeza morali kwa walimu?

Siamini kama akili zetu zinaona wanafunzi na madarasa na madawati pekee!!
Wakati huo hao ambao tunataka watufundishie watoto wetu tunaona kama hawapo..
Ikumbukwe toka awamu ya Tano waliona kuongeza mishahara na kuweka mazingira mazuri kwa walimu ni anasa..
Lakini ona sasa awamu ya sita nayo inapita mle mle,

Kuwajengea walimu nyumba wakae wanaona ni anasa,

Tujenge madarasa mengi halafu walimu watajijua wenyewe sio!
 
Labda ni dhambi au sio dhambi😁😁😁😁
 
Pesa za msaada au mkopo?!
 
Nashangaa sana wanawaza madarasa hakuna mtu anayekumbuka nyumba ivi wanafunzi wanajifundisha wenyewe ajabu sana
 
Back
Top Bottom