Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Dec 28, 2012 #1 kuna kizungumkuti kwenye kutumia neno DIGITAL kwa kiswahili hasa kipindi hiki tunapotaka kuanza kutumia mfumo huo Baraza la Taifa la kiswahili litusaidie katika hili kwakuwa hata Tume ya Mawasiliano(TUMA?/TCRA)wanababaika
kuna kizungumkuti kwenye kutumia neno DIGITAL kwa kiswahili hasa kipindi hiki tunapotaka kuanza kutumia mfumo huo Baraza la Taifa la kiswahili litusaidie katika hili kwakuwa hata Tume ya Mawasiliano(TUMA?/TCRA)wanababaika