Ni dj yupi aliyefanya vizuri na kukukosha mwaka huu?

Ni dj yupi aliyefanya vizuri na kukukosha mwaka huu?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Mwaka umeisha tayari hivyo hatuna budi kuangalia yale ya nyuma pia.
Kwa sekta ya burudani dj ni muhimu Sana hivyo ni vyema kutambua mchango wao kwa kuwataja popote pale walipo..
Kwangu mimi ni hawa.
dj kidyluxy (wasafi)
Dj delvick (wasafi)
Dj summer (East Africa)
Dj D ommy (clouds)

Kwangu mimi walionikonga nyonyo ni hawa je djs wako wakali ni wapi?
 
Huu uzi haujapata wachangiaji wengi, kwakua consumers wengi wa burudani ya mziki siku hizi hawafwatilii DJs sana. Wanadownload nyimbo mitandaoni na kucheck youtube tu,tofauti na zamani lazima usikilize vipindi vikali vya radio na television ndiyo upate burudani. So lazima utakuwa unawajuwa DJs ata zaidi ya kumi.

Djs bora kabisa kwa upande wangu mwaka huu ni hawa;

DJ Polepole a.k.a "Slowslow" huyu anapigia (sukuma gang)

DJ Nape huyu anapigia (wenyewe ndiyo sisi)

DJ Mbowe huyu anaupiga mwingi sana pamoja na kupita kwenye matatizo lakini amekuwa akipiga mapambio huko huko, huyu anapigia (ufipa club)

DJ ndugai huyu ana mixing za hatari za kushangaza hadi kituo anacho pigia wanajua lolote linaweza kutoke, hasa akishika mike kufanya hype, huyu anapigia (lumumba club).
 
The professional dj...
Dj Summer roll it up 💥💥💥
 
Back
Top Bottom