MkuyuMkubwa
Member
- Sep 27, 2009
- 50
- 0
Inasikitisha kwamba chama tawala kimejaa mafisadi....Nakubaliana na hoja zote za makombora waliorushiana wabunge wa CCM kwenye kikao cha mzee mwinyi...nimetafakari sana kuhusu uchafu huu. sasa sioni cha wapiganaji wala mafisadi. sasa sioni tofauti ya Lowasa na Mwakyembe, wala Sitta na Chenge, wala Mengi na Rostam...mtu pekee ambae bado naamini ni msafi ni huyu Dk Salim aliyegombea urais2005, nadhani achukue nchi 2010..Nani ana mashaka
Si unawaona...ndo walewale...vizee vya ccm!...fyuuu!SALIM ni HIZBU according to CCM(ASP RESIDUE) from zanziabar
Mbona hamkumpa kama msafi?Si unawaona...ndo walewale...vizee vya ccm!...fyuuu!
Mbona hamkumpa kama msafi?
Sio kweli Huyu mtu Slowly Killer sasa sisi twamjua wenyewe Zanz kwanini tusimpe Urais acha bwana huyu pusi sana mwambie Kaitendea nini AU na TZ si kujilimbikizia mimali. Kama wewe Humjui Enzi za Mwalim Basi miaka hii utaona mzuri. Nyerere hakumuona akampa MH. Mwinyi?????
Dr Salim tatizo ni mbaguzi na alikuwa na lawama sana pale OAU. Mimi simuamini huyu mzee hata kidogo
nini tatzo la Hizbu wa enzi hizo?tuache dhana potofu.SALIM ni HIZBU according to CCM(ASP RESIDUE) from zanziabar
nini tatzo la Hizbu wa enzi hizo?tuache dhana potofu.
Dk SALIM ndie pekee msafi CCM,nani anabisha?
Kwa vigezo gani Mkuu?Manake usiseme msafi tu bila kutuambia jinsi unavyoujua usafi wake.
According to....(walivyosema)nini tatzo la Hizbu wa enzi hizo?tuache dhana potofu.
Dk SALIM ndie pekee msafi CCM,nani anabisha?