Nimetafuta mtoto mimi na mume wamgu muda mrefu sasa tumeamua kuwekewa mtoto kitaalamu lakini hatujui huduma hii inapataikana wapi na ni sh ngapi? uwezo wa kwenda India na Ulaya hatuna , mwenye taarifa atujuze tafadhali maana tunapendana na vipimo viko ok kwetu sote wawili