Mungu akuinulie watu wazuri wa kukusaidia kama alivyofanya kwangu...
Ile Clinic ya Premier Care pale karibu na Best Bite Namanga wako vizuri sana issue ya reproductive health. Labda ungejaribu kuwatembelea kama upo Dar.
Inshallah Mungu awajaalie mtoto.
asante sana kwa taarifa hii maana hata mie inanifaa mwaya....mwaka wa 6 huu hatujabahatika na tumepima wote hakuna tatizo...wana jf tuombeane jamani!
asante sana kwa taarifa hii maana hata mie inanifaa mwaya....mwaka wa 6 huu hatujabahatika na tumepima wote hakuna tatizo...wana jf tuombeane jamani!
pole sana , wish ningekusaidia ila huo muda wa kukaa na wewe kwa karibu kudiscuss nahisi kama umeshaonana na
madaktari wengi zaidi.......
ila kama wote hamna tatizo jaribuni kuchukua likizo kwa pamoja msafiri sehemu kwa mapumziko huku mkijaribu kukutana siku za ovulation.......
usipokuwa umerelax pia ni tatizo besti...........