Ni engine gani nikifunga kwenye body ya Subaru foresta itakaa bila usumbufu wowote?

Ni engine gani nikifunga kwenye body ya Subaru foresta itakaa bila usumbufu wowote?

Godhelp

Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
91
Reaction score
65
Habari za Leo wanajamvi Nina body ya Subaru forester. Engen imekufa nataka nifanye modification nifunge engen ya Toyota....... Ni engen gani ya Toyota nikifunga itakaa bila usumbufu wowote
Nawasilisha

Samsung J7
 
Utaharibu bure gari, maana gharama yake utakuta inatofautiana kidoogo na kununua engine nyingine ya Subaru.
Japo sio fundi ila itabidi ubadilishe mountings zote, control box nahisi vitu vingine vingi vidogo vidogo ambavyo in turn vitaathiri ufanisi wa gari. Hautalifurahia tena. Halitakuwa na nguvu kama ulioizoea kwenye engine yake.
Jifunge mkanda tafuta engine nyingine used ya Subaru.
Ngoja na wataalamu waje labda watakuwa na mtazamo tofauti
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Nadhani hata ya Toyota 4 runner inakaa vizuri pale. lakini ni vema ukatafuta engine ya subaru forester au legacy isiyo na turbo na uwe makini kwenye timing belt kwasababu ndo shida kuu ya Subaru kuua engine, watu hawazingatii wakati wa kubadilisha.
 
Back
Top Bottom