Ni engine gani nzuri kwa Toyota Hilux Double Cabin

Ni engine gani nzuri kwa Toyota Hilux Double Cabin

Kimeo

Member
Joined
May 19, 2009
Posts
77
Reaction score
13
Wakuu nataka kununua Toyota Hilux Double Cabin, ila changamoto ni kujua engine gani hazina usumbufu katika gari hiyo.
 
Zote nzuri. Matunzo ndiyo yataifanya iwe nzuri zaidi. Nyumbani ipo moja engine 3l tayari imetembea kilomita 140k ila service ni ya uhakika na kwa wakati ukiitazama na kuona utendaji wake wa kazi ni mzuri sana
 
2kd nayo nzuri sana... ukiitunza nayo inakutunza. Consumption yake pia sio mbaya.
 
5L na 1Kz nazo ziko fresh sana, apate para za kumwaga
 
Back
Top Bottom