Madrid atalala mapema sana Jumamosi,Juventus hata kubali kurudia makosa tena ya nyuma.Yap...Niko kwa Waitaliano.....ushindi saa mbili asubuhi.....mapemaaaa ...Buffon ananyanyua ndoo
Asubuhii tuu mwambaMadrid atalala mapema sana Jumamosi,Juventus hata kubali kurudia makosa tena ya nyuma.
Tukimshika modric basi tunakata Umeme kabisa Khedira atapewa jukumu la kutembea na huyu mtu
Daaaaaa! Mkuu sasa hapo utakuwa unajikomoa mwenyewe aiseeTeam zote damdam sijui niache kutizama game
Ukuta wa biscuit
Mkuu...Pijanic mido fundi sio cassemiro ambae hajui kupiga pass
Walimwacha Modric atembee...Madrid atalala mapema sana Jumamosi,Juventus hata kubali kurudia makosa tena ya nyuma.
Tukimshika modric basi tunakata Umeme kabisa Khedira atapewa jukumu la kutembea na huyu mtu