Ni fakati gani ambazo hazitapewa mkopo mwaka huu?

Ni fakati gani ambazo hazitapewa mkopo mwaka huu?

tabibumtaratibu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2011
Posts
2,414
Reaction score
1,215
Jaman embu nijuzeni kuhusu hili kuhusu utolewaj wa mikopo kwa cozi mbalimbali' zipi ambazo hazita guswa kabisa?
 
mi naona ambao hawatapata mkopo ni wale waliopata division 3 na wanataka faculty zingine zaidi ya education
 
Wameshasema kabisa kiasi watakachotoa kwa kila faculty, endeleeni kujipa moyo tu. Hata mwenye div I, akienda B.A in History hapati kitu.
 
faculty zote ambazo hazina priority kwa serikali,hvy ukizichagua ni uamuzi wao kukupa au la huku vigezo vingine vikihusishwa!
 
Za wanaarts na biashara karibu zote,science mambo nyweee
 
Fakati ndo nini? Wasomi wa siku hizi mnachosha! Ningejua jina lako ningehakikisha hatupotezi kodi zetu kwako!
 
nendeni huko huko kwenye ualimu
kaka, hii profesheni yetu imekukosea nini? mimi mbali ya kua nimesomea IT (higher diploma), lakini pia bado ni mwalimu wa sekondari, kazi ninayoifanya hadi leo hii. kwakweli posti zako zinanihuzuhunisha sana, badili tabia jimbi
 
Mimi na walipa kodi ya mapato wote wavuja jasho hapa tz Shardcole. Wewe unalipa kodi kiasi gani kwa mwaka na unajua inaweza kusomesha vijana wangapi kwenye 'fakati' yoyote?
mbona una-genaralize hivi? Ww na nani hamtapoteza kodi zenu !!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom