Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
US ndo nchi yenye strong army and battle nyingi duniani.
Haijawai kutokea Kwa Governor au Senetor yeyote kuliamrisha jeshi la Marekani kuzibua vyoo,mitaro na kuzoa takataka. Ata hapo jirani Kenya haijawai kutokea KDF kuwa deployed kuzoa taka Nairobi.
Chalamila amepata wapi mamlaka ya ku deploy Soldiers 5000? Ku deploy Police Force 8000?
Hivi huyu RC mpaka muda huu anafanya Nini ofisini.
Ni aibu JWTZ kuzoa vinyesi, mikojo na matakataka wakati izo ni kazi za Halimashauri.