Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Achana na hao mashoga askari wa US. Jeshi ni kutumikia wananchi kwenye amani na vita. Wao kuja mitaani kusaidia usafi ni katika kujenga mahusiano na wananchi.US ndo nchi yenye strong army and battle nyingi duniani.
Haijawai kutokea Kwa Governor au Senetor yeyote kuliamrisha jeshi la Marekani kuzibua vyoo,mitaro na kuzoa takataka. Ata hapo jirani Kenya haijawai kutokea KDF kuwa deployed kuzoa taka Nairobi.
Chalamila amepata wapi mamlaka ya ku deploy Soldiers 5000? Ku deploy Police Force 8000?
Hivi huyu RC mpaka muda huu anafanya Nini ofisini.
Ni aibu JWTZ kuzoa vinyesi, mikojo na matakataka wakati izo ni kazi za Halimashauri.
KabisaJWTZ
POLISI na vyombo vya Dola Viongozi wake wengi ni makada wa C.C.M hivyo kuamrishwa kufanya usafi na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama (RC-na DC) kwao ni sawa.
Ila nchi hii Ina watu wajinga wakiwemo viongozi baadhi wa CCM yaani ili kuzima maandamo ya Chama Cha upinzani unaamrisha jeshi kufanya usafi...!!!
Mapinduzi tenaTanzania kufanya mapinduzi ni rahisi sana, sema wahuni hawajaamua tu.
Hizi kauli za kuachia mtu aliagize jeshi zinahitaji kukemewa lakini pia kuzifanyia tathmini kama zinaishia hapo tu ama ni majaribio ya mambo makubwa zaidi.
Ng'ombeAchana na hao mashoga askari wa US. Jeshi ni kutumikia wananchi kwenye amani na vita. Wao kuja mitaani kusaidia usafi ni katika kujenga mahusiano na wananchi.
Mama yupo kazini na vibaraka wakeUS ndo nchi yenye strong army and battle nyingi duniani.
Haijawai kutokea Kwa Governor au Senetor yeyote kuliamrisha jeshi la Marekani kuzibua vyoo,mitaro na kuzoa takataka. Ata hapo jirani Kenya haijawai kutokea KDF kuwa deployed kuzoa taka Nairobi.
Chalamila amepata wapi mamlaka ya ku deploy Soldiers 5000? Ku deploy Police Force 8000?
Hivi huyu RC mpaka muda huu anafanya Nini ofisini.
Ni aibu JWTZ kuzoa vinyesi, mikojo na matakataka wakati izo ni kazi za Halimashauri.
Mkuu Niamini Mimi Hii kitu Haiwezekani..US ndo nchi yenye strong army and battle nyingi duniani.
Haijawai kutokea Kwa Governor au Senetor yeyote kuliamrisha jeshi la Marekani kuzibua vyoo,mitaro na kuzoa takataka. Ata hapo jirani Kenya haijawai kutokea KDF kuwa deployed kuzoa taka Nairobi.
Chalamila amepata wapi mamlaka ya ku deploy Soldiers 5000? Ku deploy Police Force 8000?
Hivi huyu RC mpaka muda huu anafanya Nini ofisini.
Ni aibu JWTZ kuzoa vinyesi, mikojo na matakataka wakati izo ni kazi za Halimashauri.
Ninyi wakuu wa Majeshi na polisi hivi hamna uwezo wa kukaa kikao na kuona haya yanayoamrishwa kwenu sio wajibu wenu. Si myapatie majawabu. Mmekula kiapo.US ndo nchi yenye strong army and battle nyingi duniani.
Haijawai kutokea Kwa Governor au Senetor yeyote kuliamrisha jeshi la Marekani kuzibua vyoo,mitaro na kuzoa takataka. Ata hapo jirani Kenya haijawai kutokea KDF kuwa deployed kuzoa taka Nairobi.
Chalamila amepata wapi mamlaka ya ku deploy Soldiers 5000? Ku deploy Police Force 8000?
Hivi huyu RC mpaka muda huu anafanya Nini ofisini.
Ni aibu JWTZ kuzoa vinyesi, mikojo na matakataka wakati izo ni kazi za Halimashauri.
Kwa hiyo Chalamila aliropokaMkuu Niamini Mimi Hii kitu Haiwezekani..
Askari wa Jeshi 5000?
Maana yake anamuagiza CDF amuagize Brigedia Genaral (Brigedia Jenerali)
Kuleta Bregade in combat yaani Several Battalions in action for Just Cleaning purpose..?
Kuiweka Brigade sehemu inahitaji kuwepo Brigedia jenerali, subornates Wake kama Colonel (Kanali),Liutenants colonel (Ma Luteni kanali) kadhaa na Vyeo vingine vya chini yake ambavyo vyote vipo kwenye Chain of Commands..
Sio kitu chepesi kama Tunavyofikiria..!
Posho zao tu hatuna uwezo wa Kuzilipa kwa pamoja.. leo Tuote more than 20 Platoon kwa mambo ya kisiasa Never, Haiwezi kutokea
Wewe Wasema!😅😅Kwa hiyo Chalamila aliropoka
Anatenguliwa leo usiku na nafasi yake anachukua Ally HapiUS ndo nchi yenye strong army and battle nyingi duniani.
Haijawai kutokea Kwa Governor au Senetor yeyote kuliamrisha jeshi la Marekani kuzibua vyoo,mitaro na kuzoa takataka. Ata hapo jirani Kenya haijawai kutokea KDF kuwa deployed kuzoa taka Nairobi.
Chalamila amepata wapi mamlaka ya ku deploy Soldiers 5000? Ku deploy Police Force 8000?
Hivi huyu RC mpaka muda huu anafanya Nini ofisini.
Ni aibu JWTZ kuzoa vinyesi, mikojo na matakataka wakati izo ni kazi za Halimashauri.
Kuna siku mtawataka wanajeshi wawafulie hata nguo zenu za ndani mkidai ndiyo uimarishaji wa mahusiano.Achana na hao mashoga askari wa US. Jeshi ni kutumikia wananchi kwenye amani na vita. Wao kuja mitaani kusaidia usafi ni katika kujenga mahusiano na wananchi.