Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,170 Reaction score 6,757 Jun 3, 2023 #1 Kwanini kuwe na tozo za miamala ya simu na benki kama utalii tu unakusanya bil 291? Kwa nini serikali inaruhusu michango ya maendeleo mashuleni wakati utalii unazlihsa pesa ambazo zinatosha kuhudumia mashule na kujenga matundu ya vyoo. Unajinasibu nini?
Kwanini kuwe na tozo za miamala ya simu na benki kama utalii tu unakusanya bil 291? Kwa nini serikali inaruhusu michango ya maendeleo mashuleni wakati utalii unazlihsa pesa ambazo zinatosha kuhudumia mashule na kujenga matundu ya vyoo. Unajinasibu nini?
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Jun 3, 2023 #2 Siku Afrika mkifika nusu ya maendeleo ya US mniue. Afrika kila Mtumishi anawaza kupiga dili kazini