Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwa unavyoona mambo yalivyo pale BAWACHA au hata BAVICHA, nani unadhani anaweza kuwa Mwanamke wa nguvu wa kwanza kushika wadhifa wa juu wa chama hicho Kikuu cha upinzani ukiachilia mbali uongozi alionao sasa kulingana na kundi alilopo ndani ya chama hicho?
Je, ni Catherine Ruge au Halima Mdee, we unadhani ni nani atakua wa kwanza? 🐒
Je, ni Catherine Ruge au Halima Mdee, we unadhani ni nani atakua wa kwanza? 🐒