sasa fuso mwamba si amesema mwenyewe hadharani mchana kweupeee bila kushurtishwa na mtu yeyote?πCCM yaonekana mmeshikwa pabaya sana na Mh. Mbowe!!
Sasa ni hivi CDM ndiyo itaamua ni lini MWAMBA atapumzika na siyo ninyi,
ni hivi, lazima muemdelee kuchezeshwa dance.
Waache CDM na mambo yao, muda huu uliobakia kidogo mshtue mama Abdul kwamba shughuli inayokuka ni pevu balaa.sasa fuso mwamba si amesema mwenyewe hadharani mchana kweupeee bila kushurtishwa na mtu yeyote?π
kuna ubaya gani wanawake pale Chadema wakaanza kujipanga na kujiandaa kuchukua nafasi na kuipa Chadema sura, uelekeo na pumzi mpya?π
mimi sina shida na CDM hata kidogo,Waache CDM na mambo yao, muda huu uliobakia kidogo mshtue mama Abdul kwamba shughuli inayokuka ni pevu balaa.
mimi sina shida na CDM hata kidogo,
nimeona tu kama kauli ya mwenyekiti ataisimamia na kutekeleza basi ni fursa kwa wanawake na wao kupata nafasi za juu kwenye maamuzi ya chama,
na kwahivyo yafaa wajiandae na wajipange vizur mapema na jukumu hilo kubwa ndani ya chama chao...!
kwani kuna makosa kama mtaalamu wa siasa, kuuliza wadau kwamba ni nani miongni mwa wanawake pale Chadema atakua wa kwanza kwenye uongozi wa juu wa chama kwa ujumla?π
huenda uko sahihi na hilo ni jambo zuri sana kwa afya ya Demokrasia kuelekea 50/50 kwenye vyombo vya maamuzi,..ktk uchaguzi wa 2020 Chadema walikuwa na wagombea wengi wanawake majimboni kuliko Ccm.