Ni gari gani inaongoza kwa ulaji mdogo wa mafuta?

Ni gari gani inaongoza kwa ulaji mdogo wa mafuta?

Inamonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
779
Reaction score
474
Ni gari gani inaongoza kwa ulaji mdogo wa mafuta kati ya hizi zifuatazo..?

Ist cc 1300.
pajero min cc 660.
Terios kid cc 660.
Suzuki jumny cc 660.
Toyota Alex cc 1500.
 
Ni gari gani inaongoza kwa ulaji mdogo wa mafuta kati ya hizi zifuatazo..?

Ist cc 1300.
pajero min cc 660.
Terios kid cc 660.
Suzuki jumny cc 660.
Toyota Alex cc 1500.
Ni hivyo vyenye 660cc chukua hata ukiwa mjini ukipita jirani na sheli kikipata harufu kinakwenda tu,waweza eka ya buku 10 hata miezi 6 muhimu kupita jirani na sheli kwa ajili ya harufu.
 
Vigari vya 660cc vikianza kuchoka jiandae kusukumwa kila unapofika mlimani.
Ist 1300cc inakula mafuta kiasi lakini ni imara na zuri kwa muonekano wake.
 
Back
Top Bottom