Ni gari Gani Tano 5 zilizoagizwa zaidi mwaka 2022 Tanzania??

Ni gari Gani Tano 5 zilizoagizwa zaidi mwaka 2022 Tanzania??

Lakini ndo usafiri wetu huo watanzania tuliowengi
Siyo Watanzania tu, hata Amerika na ulaya watu hawatembelei magari makubwaa, V8 zinasafari zake, siyo utoke bunju unaenda posta na V8 au zaidi ya hapo.

Nenda you tube kaangalie hata huko watu hutembelea magari madogo haya haya, labda kinachotofautiana ni dhamani ya gari tu, tukumbuke vigari vingi vimetumika huko kulikoendelea kwanza gari mpya chache sana.
 
Crown sijaiona kwa list, list ni batili.
 
Kwa upande wangu Mimi gari zilizoagizwa zaidi Tanzania mwaka 2022 ni
1. Toyota IST
2. NISSAN Dualis
3. Rumion
4. Forester
5. Harrier

Mi nafikiri tutabiri gari zitakazoagizwa. zaidi 2023
Ukiachana na hizi common IST,premio,Dualis,Harrier,Forester na Crown 180

Mi naanza na hizi

1.Crown GRS 200
2.Mitsubishi outlander
3.C-Class
4.3 series
5.mazda cx-5
 
Back
Top Bottom