City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,212
Daaah ebwana mkuu this is huge umenirahisishia saaana ahsante nimeelewa vizuri sana.Kwa kulingana na budget yako mimi nashauri hivi:
1. PREMIO 2006 (Chaguo la Pili au Tatu)
2. CARINA TI (Chaguo la Tano)
3. IST (Chaguo la Kwanza)
4. ALLION (Chaguo la Pili au Tatu)
5. SPACIO (Model ipi? Chaguo la Nne)
Chaguo la Kwanza Toyota IST.
Kwa iyo budget ni rahisi kupata IST iliyokatika hali nzuri. Pia, engine yake ni imara ina inatumia mafuta vizuri. Nashauri chagua yenye cc1480 (1.5L) kwa nguvu zaidi achana na 1.3L
Chaguo la Pili na Tatu ni Allion au Premio.
Ni ngumu kupata izo gari zilizo katika hali nzuri kwa hiyo bei, ikiwezekana ichunguze sana maana izo gari bei ya moto. Nyingi mtaani Mil 10 kwenda juu.
Ukiipata kwa hiyo budget yako jitahidi uende na fundi mzuri.
Chaguo la Nne iwe Spacio.
Kama jina linavyosema, kama utatumia sana gari kubeba mizigo mfano bidhaa za shop, vyakula vya mifugo, kusafirisha mabox na mizigo hii itafaa sana coz inanafasi sana ndani na boot kubwa kuliko yote hayo.
Chaguo la Mwisho Carina Ti.
Hii gari ilikua inapendwa Jamiiforums zamani sahivi naona wameikataa. Kwa kifupi ukiona gari inapendwa na madereva Taxi ujue ina roho ya paka.
Huo ndio mtazamo wangu.
Kwahiyo Carina Ti ndio ngumu kuliko zote inahimili mikimiki lakini siyo FashionableKwa kulingana na budget yako mimi nashauri hivi:
1. PREMIO 2006 (Chaguo la Pili au Tatu)
2. CARINA TI (Chaguo la Tano)
3. IST (Chaguo la Kwanza)
4. ALLION (Chaguo la Pili au Tatu)
5. SPACIO (Model ipi? Chaguo la Nne)
Chaguo la Kwanza Toyota IST.
Kwa iyo budget ni rahisi kupata IST iliyokatika hali nzuri. Pia, engine yake ni imara ina inatumia mafuta vizuri. Nashauri chagua yenye cc1480 (1.5L) kwa nguvu zaidi achana na 1.3L
Chaguo la Pili na Tatu ni Allion au Premio.
Ni ngumu kupata izo gari zilizo katika hali nzuri kwa hiyo bei, ikiwezekana ichunguze sana maana izo gari bei ya moto. Nyingi mtaani Mil 10 kwenda juu.
Ukiipata kwa hiyo budget yako jitahidi uende na fundi mzuri.
Chaguo la Nne iwe Spacio.
Kama jina linavyosema, kama utatumia sana gari kubeba mizigo mfano bidhaa za shop, vyakula vya mifugo, kusafirisha mabox na mizigo hii itafaa sana coz inanafasi sana ndani na boot kubwa kuliko yote hayo.
Chaguo la Mwisho Carina Ti.
Hii gari ilikua inapendwa Jamiiforums zamani sahivi naona wameikataa. Kwa kifupi ukiona gari inapendwa na madereva Taxi ujue ina roho ya paka.
Huo ndio mtazamo wangu.
Ile kitu roho ya paka mzee. Sema dah old fashioned sana.Kwahiyo Carina Ti ndio ngumu kuliko zote inahimili mikimiki lakn siyo Fashionable
Ahsante Nilichukua premio F ya 2005 1.5 l ina wiki ni number CR ipo vizuri japo kuna mtu kanitisha itaanza kunisumbua soon lakini wacha ipige misele kwanza nikishindwa nauzaPremio 2nd Generation is everthing bro ila ongeza pesa
Kwa nini IST iwe ya 1.5L na siyo ya 1.3L?Kwa kulingana na budget yako mimi nashauri hivi:
1. PREMIO 2006 (Chaguo la Pili au Tatu)
2. CARINA TI (Chaguo la Tano)
3. IST (Chaguo la Kwanza)
4. ALLION (Chaguo la Pili au Tatu)
5. SPACIO (Model ipi? Chaguo la Nne)
Chaguo la Kwanza Toyota IST.
Kwa hiyo budget ni rahisi kupata IST iliyokatika hali nzuri. Pia, engine yake ni imara ina inatumia mafuta vizuri. Nashauri chagua yenye cc1480 (1.5L) kwa nguvu zaidi achana na 1.3L
Chaguo la Pili na Tatu ni Allion au Premio.
Ni ngumu kupata hizo gari zilizo katika hali nzuri kwa hiyo bei, ikiwezekana ichunguze sana maana izo gari bei ya moto. Nyingi mtaani Mil 10 kwenda juu.
Ukiipata kwa hiyo budget yako jitahidi uende na fundi mzuri.
Chaguo la Nne iwe Spacio.
Kama jina linavyosema, kama utatumia sana gari kubeba mizigo mfano bidhaa za shop, vyakula vya mifugo, kusafirisha mabox na mizigo hii itafaa sana coz ina nafasi sana ndani na boot kubwa kuliko yote hayo.
Chaguo la Mwisho Carina Ti.
Hii gari ilikuwa inapendwa Jamiiforums zamani sahivi naona wameikataa. Kwa kifupi ukiona gari inapendwa na madereva Taxi ujue ina roho ya paka.
Huo ndio mtazamo wangu.
Kwa nini premio bei zake huwa zinasimama mnoo mkuu,hata ikiwa used.siri ya hii ndinga ni nini?Kwa kulingana na budget yako mimi nashauri hivi:
1. PREMIO 2006 (Chaguo la Pili au Tatu)
2. CARINA TI (Chaguo la Tano)
3. IST (Chaguo la Kwanza)
4. ALLION (Chaguo la Pili au Tatu)
5. SPACIO (Model ipi? Chaguo la Nne)
Chaguo la Kwanza Toyota IST.
Kwa hiyo budget ni rahisi kupata IST iliyokatika hali nzuri. Pia, engine yake ni imara ina inatumia mafuta vizuri. Nashauri chagua yenye cc1480 (1.5L) kwa nguvu zaidi achana na 1.3L
Chaguo la Pili na Tatu ni Allion au Premio.
Ni ngumu kupata hizo gari zilizo katika hali nzuri kwa hiyo bei, ikiwezekana ichunguze sana maana izo gari bei ya moto. Nyingi mtaani Mil 10 kwenda juu.
Ukiipata kwa hiyo budget yako jitahidi uende na fundi mzuri.
Chaguo la Nne iwe Spacio.
Kama jina linavyosema, kama utatumia sana gari kubeba mizigo mfano bidhaa za shop, vyakula vya mifugo, kusafirisha mabox na mizigo hii itafaa sana coz ina nafasi sana ndani na boot kubwa kuliko yote hayo.
Chaguo la Mwisho Carina Ti.
Hii gari ilikuwa inapendwa Jamiiforums zamani sahivi naona wameikataa. Kwa kifupi ukiona gari inapendwa na madereva Taxi ujue ina roho ya paka.
Huo ndio mtazamo wangu.
TuGari twa cc ndogo sikushauri brother. Siku tembea na Fuga, Crown, Brevis au GX110 ujionee.Nataka kununua gari namba C au D kwa bajeti ya million 7-7.5
Machaguo
1. PREMIO 2006
2. CARINA TI
3. IST
4. ALLION
5. SPACIO
Ni gari ipi hapo inayovumilia na maintanance yake haiumizi kichwa, je ni ipi itanifaa kwa vurugu za hapa na pale nina ratiba nyingi town nataka roho ya paka kweli kweli
Natanguliza shukrani
NB: Naomba usinishauri kununua mpya.
Nje ya mada | Je gari ipi inafaa zaidi kwa biashara ya 'Taxi' kwa sasa?.Hii gari ilikuwa inapendwa Jamiiforums zamani sahivi naona wameikataa. Kwa kifupi ukiona gari inapendwa na madereva Taxi ujue ina roho ya paka.
Mkuu me navoona Taxi kwakua faida ndio kipaumbele inabidi gari iwe na engine ndogo (consumption ndogo ya mafuta), gharama ndogo za matengenezo, iwe vumilivu (maana madereva unaweza mkabidhi gari afu ikapitiliza service yeye akaendelea endesha), na nafasi kubwa kwenye buti.Nje ya mada | Je gari ipi inafaa zaidi kwa biashara ya 'Taxi' kwa sasa?.
Premio ni Crown ilio lala. Siku endesha Premio utaona kabisa ni Crown sema sio sport kama Crown.Kwa nini premio bei zake huwa zinasimama mnoo mkuu,hata ikiwa used.siri ya hii ndinga ni nini?
Power boss. Kuna tofauti kidogo ya hp pale. Maana 1.5 ina hp 110 hafu 1.3 ina 88 hp. Ni tofauti ndogo na inaweza isionekane ukiwa unaendesha mwenyewe ila siku pandisha abiria watatu wenye kilo zao 60 kwenda juu hafu una kamzigo kwenye buti hafu unapanda kamlima flani utaina inavyoenya. Hafu consumption tofauti ni ndogo sana. Sema ayo mawazo yangu mgando tu ata 1.3 ukipata fresh tuaana mara nyingi magari tunaendesha bila abiria.Kwa nini IST iwe ya 1.5L na siyo ya 1.3L?
IST.Nje ya mada | Je gari ipi inafaa zaidi kwa biashara ya 'Taxi' kwa sasa?.
True aiko kuvimbia iko kikazii ni kma proboxKwahiyo Carina Ti ndio ngumu kuliko zote inahimili mikimiki lakini siyo Fashionable
Achana na uyu jmaa anakushauri majini hayooo chukua Allion 1Nz engine cc 1490 utaenjoy at km una mtaji wa karanga unaimudu mafuta kiduchu misele kibaoooo iko sport at ukipak sehem imepoaTuGari twa cc ndogo sikushauri brother. Siku tembea na Fuga, Crown, Brevis au GX110 ujionee.
Jini la umaskini lishindweAchana na uyu jmaa anakushauri majini hayooo chukua Allion 1Nz engine cc 1490 utaenjoy at km una mtaji wa karanga unaimudu mafuta kiduchu misele kibaoooo iko sport at ukipak sehem imepoa