inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Nini shida? Na unahitaji ushauri gan specificHadau,nauliza ni gari gani ya Nissan unawwza weka engine ya toyota.Kuna mtu kaniambia X trail unaweza weka engine ya toyota.Naombeni ushauri mafundi
Nipe ufafanuzi zaidi nduguFunga 3S engine hata wenye landrover freelander wanafunga sana zipo poa
Swapping ya engine ina jumuisha changing the entire drivetrain ya engine husika...(hasa kama unataka automatic drive train...so ina involve kununua engine, transmission system yake na ECU na wiring yake..Hadau,nauliza ni gari gani ya Nissan unawwza weka engine ya toyota.Kuna mtu kaniambia X trail unaweza weka engine ya toyota.Naombeni ushauri mafundi
Tulikushauri ununue toyota ila ulitaka kuwa "unique"?Haya sasaHadau,nauliza ni gari gani ya Nissan unawwza weka engine ya toyota.Kuna mtu kaniambia X trail unaweza weka engine ya toyota.Naombeni ushauri mafundi
πππ Limemkuta jamboTulikushauri ununue toyota ila ulitaka kuwa "unique"?Haya sasa