Ni GB za ngapi za Internet ushatumia kwa mwezi uliopita(June)? Share hapa

Ni GB za ngapi za Internet ushatumia kwa mwezi uliopita(June)? Share hapa

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
1,714
Reaction score
1,829
Hello wakuu hii post ni mahususi kwa ajili ya kushare screenshot za matumizi yetu ya vifurushi vya internet kwa mwezi unaoisha (mwezi wa 6)

Labda kupitia hii post watu wa makampuni ya simu waliopo humu Jamiiforums wakipitia post hii na kuona matumiz ya wateja wao kwa upande wa data ni makubwa wanaweza kutupunguzia bei ya vifurushi vya internet 🙋‍♂️

Kwa upande wangu hadi mwezi wa 6 unaisha nishatumia takriban Gb 34 za internet. Share GB ulizotumia kwenye comment box hapa chini 👇

Screenshot_2020-06-30-19-22-22-737_com.miui.securitycenter.jpg
 
10.4
 

Attachments

  • Screenshot_2020-06-30-20-04-31-30.png
    Screenshot_2020-06-30-20-04-31-30.png
    33.7 KB · Views: 2
Nimetumia GB 50. Bahati mbaya leo hii nimereset data.
 
Hello wakuu hii post ni mahususi kwa ajili
ya kushare screenshot za matumizi yetu ya vifurushi vya internet kwa mwezi unaoisha (mwezi wa 6)

Labda kupitia hii post watu wa makampuni ya simu waliopo humu Jamiiforums wakipitia post hii na kuona matumiz ya wateja wao kwa upande wa data ni makubwa wanaweza kutupunguzia bei ya vifurushi vya internet [emoji2321]

Kwa upande wangu hadi mwezi wa 6 unaisha nishatumia takriban Gb 34 za internet.. Share Gb ulizotumia kwenye comment box hapa chini [emoji116] View attachment 1493621
Ni sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom