Ni gereji gani mzuri Moshi kwa kunyosha magari

Ni gereji gani mzuri Moshi kwa kunyosha magari

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Wakuu igweee

Nina gari yangu fuso tani 20 imepata ajari pale mitaa ya Kibaha

Sasa nataka kwenda kunyosha na nimeambiwa na watu gereji mzuri ziko Moshi

So kwa watu wenye uzoefu tafadhari sana naomba mnisaidie kujua ni gereji ipi ina kiwango kikubwa na mafundi wazuri
 
Ulifanikiwa?! Kama haukufanikiwa nambie nitakuelekeza....

Mkuu Samcezar , mie nahitaji gereji yenye fundi mzuri wa engene, na kufanya diagnosis. Hasa nahitaji kufanya engene diagnosis kwanza. Kwa hapa Moshi.

Naomba unielekeze gereji yenye kuaminika. Au niende Arusha?
 
Nenda DAG apo majengo jirani na police station.. pia unaweza kushuka stand ya Mboya kule ndo chinja chinja kila kitu unapata.
 
Back
Top Bottom