hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 7,235 Reaction score 7,392 Jun 2, 2021 #1 Wakuu igweee Nina gari yangu fuso tani 20 imepata ajari pale mitaa ya Kibaha Sasa nataka kwenda kunyosha na nimeambiwa na watu gereji mzuri ziko Moshi So kwa watu wenye uzoefu tafadhari sana naomba mnisaidie kujua ni gereji ipi ina kiwango kikubwa na mafundi wazuri
Wakuu igweee Nina gari yangu fuso tani 20 imepata ajari pale mitaa ya Kibaha Sasa nataka kwenda kunyosha na nimeambiwa na watu gereji mzuri ziko Moshi So kwa watu wenye uzoefu tafadhari sana naomba mnisaidie kujua ni gereji ipi ina kiwango kikubwa na mafundi wazuri
Kingdom78 Member Joined May 31, 2015 Posts 72 Reaction score 77 Jun 2, 2021 #2 Tusubirie wazoefu wa Moshi
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Jun 13, 2021 #3 Ulifanikiwa?! Kama haukufanikiwa nambie nitakuelekeza....
kayanda01 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,216 Reaction score 1,062 Jul 21, 2021 #4 Samcezar said: Ulifanikiwa?! Kama haukufanikiwa nambie nitakuelekeza.... Click to expand... Mkuu Samcezar , mie nahitaji gereji yenye fundi mzuri wa engene, na kufanya diagnosis. Hasa nahitaji kufanya engene diagnosis kwanza. Kwa hapa Moshi. Naomba unielekeze gereji yenye kuaminika. Au niende Arusha?
Samcezar said: Ulifanikiwa?! Kama haukufanikiwa nambie nitakuelekeza.... Click to expand... Mkuu Samcezar , mie nahitaji gereji yenye fundi mzuri wa engene, na kufanya diagnosis. Hasa nahitaji kufanya engene diagnosis kwanza. Kwa hapa Moshi. Naomba unielekeze gereji yenye kuaminika. Au niende Arusha?
MC RAS PAROKO JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 623 Reaction score 606 Jul 22, 2021 #5 kayanda01 said: Mkuu Samcezar , mie nahitaji gereji yenye fundi mzuri wa engene, na kufanya diagnosis. Hasa nahitaji kufanya engene diagnosis kwanza. Kwa hapa Moshi. Naomba unielekeze gereji yenye kuaminika. Au niende Arusha? Click to expand... Nenda DAG apo majengo jirani na police station.. pia unaweza kushuka stand ya Mboya kule ndo chinja chinja kila kitu unapata.
kayanda01 said: Mkuu Samcezar , mie nahitaji gereji yenye fundi mzuri wa engene, na kufanya diagnosis. Hasa nahitaji kufanya engene diagnosis kwanza. Kwa hapa Moshi. Naomba unielekeze gereji yenye kuaminika. Au niende Arusha? Click to expand... Nenda DAG apo majengo jirani na police station.. pia unaweza kushuka stand ya Mboya kule ndo chinja chinja kila kitu unapata.