Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
...nipo kwenye dala dala kuelekea Tegeta Nyuki. Namsikia abiria mmoja anaongea na mtu kupitia simu yake. Nothing wrong with that hadi nilipomsikia akisema: "mko kwenye graduation ya shule au graduation ya besidei....?"
Wabongo tuna mambo!
Wabongo tuna mambo!