KERO Ni haki abiria mwenye tiketi mkononi kulipia hela ya kuinga ndani ya stendi kufuata gari lake?

KERO Ni haki abiria mwenye tiketi mkononi kulipia hela ya kuinga ndani ya stendi kufuata gari lake?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Jason chagga

Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
17
Reaction score
6
Je, ni haki abiria anafika stendi kashakata ticket bado analipiga tena hela ya kuinga ndani ya stand kufuata gari lake alilokatia ticket?
 
Nijuavyo sio sawa, kwani stand ipo pale kwa ajili ya Abiria na mabasi yanalipia hiyo tozo tayari.
Hata hivyo naona kuna namna ambapo hizo tozo za stand hazipo sawasawa hata kwa wasio wasafiri kwani hata sijui zinajumuisha huduma gani? Ningetamani zijumuishe walau huduma ya Choo
 
Ni stendi ipi ambayo abiria ukitaka kwenda kupanda bus ulilokwishakatia tiketi na ukionyesha tiketi yako getini bado unatakiwa kulipia uingiaji wake? Uwa naona ukiwa na tiketi mkononi au sms ya tiketi mtandao unaingia bila kulipia getini.
 
Back
Top Bottom