Nijuavyo sio sawa, kwani stand ipo pale kwa ajili ya Abiria na mabasi yanalipia hiyo tozo tayari.
Hata hivyo naona kuna namna ambapo hizo tozo za stand hazipo sawasawa hata kwa wasio wasafiri kwani hata sijui zinajumuisha huduma gani? Ningetamani zijumuishe walau huduma ya Choo