tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
Nimeshangazwa na habari kuwa katika kuokoa jahazi la STRABAG serikali imeomba bodi ya mikopo itoe fedha lakini bodi ikasema fedha ilienda DANIDA.Habari kamili iko kwenye thread kwenye jukwaa la siasa yenye kichwa: Kinana,serikali na pesa za wafanyakazi wa STRABAG - Part 2. Kwa mujibu wa habari hiyo, fedha ya STRABAG ilichotwa kugharimia safari za Kinana na sherehe za muungano na sasa wafanyakazi wamegoma wanataka chao - serikali imehaha.