Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

kwani hizo barabara zinafungwa kila siku?mimi najua inakuwaga ijumaa au swala ya idd na swala haifiki dk 10 ishaisha,na suala la kusema barabara imejengwa kwa kodi ya wananchi isifungwe hata hao waliofunga pia niwalipa hiyo kodi sio km umelipa peke yako.
 
Songea mjini kila Ijumaa huwa wanafunga nilipita hapo miaka 10 iliyopita, sijui bado inaendelea
 
Mimi naona kuna haja ya kuwa na utaratibu unaoeleweka na wote katika jamii. Kila mtu akijiamulia kufanya mambo kwa kisingizio cha dini, sherehe au msiba itakuja leta shida kubwa baadae. Tukumbuke nchi yetu ina dini na mila tofauti.
Acha upumbavu na udini wewe shughuli ngapi zinafanywa na wakristo sehemu za Public watu wanavumiliana umeona ya waiskamu tu shenzi type
 
Zenji hao watoa kodi wa kuzijenga hizo barabar ndio wanaozifunga kwa ajili ya ibada kinakuwasha nini???
sasa ukienda Zenji si ndio utashangaa!!?maana mpaka Shein mwenyewe anashiriki kufunga barabara!hata mimi kwa upande mwingine siliafiki hili suala.

Kwanini wasiazime hata viwanja vya shule au vya mipira??mimi pia nakerekwa sana na hili!!
 
Sasa kama kodi tumelipa wote kwa nini wanafunga peke yao?
 
sasa ukienda Zenji si ndio utashangaa!!?maana mpaka Shein mwenyewe anashiriki kufunga barabara!hata mimi kwa upande mwingine siliafiki hili suala.

Kwanini wasiazime hata viwanja vya shule au vya mipira??mimi pia nakerekwa sana na hili!!
Kuna siku mgalatia akafurahishwa na chochote atakachofanya muislamu?

Tunapila pilau na kuwaalika raia waje kula bure pia mnalalamika.
Ugalatia shida bro. Njoo huku kwenye neema
 
Sasa kama kodi tumelipa wote kwa nini wanafunga peke yao?
Na ww funga basi kwani kuna MTU kakukataza nchi huru kila mtu anahaki ya kuabudu km kaenda msikitini kakuta kumejaa anaswalia hata nje mbona misikiti ya mtaani Barabara hazifungwi sababu maeneo makubwa hawafungi barabara kwa kupenda tu kusumbua watu.
 
Hii tabia baadhi ya madhehebu yana mahekalu yao ya kuabudia lakini wanafunga barabara na hata kutumia vibaraza visivyo vyao kuswalia si sawa sawa.
Kama hekalu lenu limekuwa dogo jiongezeni mjenge kubwa, na hakuna kibali cha kufunga mitaa ila mnafunga na mnafungiwa macho, sasa wale upande wa pili na wao wakifunga si itakuwa hatari?
 
 
Hii inakera sana
 
Kuna wale wafuasi wa 'mnyazimungu' wanaofuata mafunzo uchwala ya marehem mudi huwa wanafunga Barabara ya saba kila fraidey Pale Dodom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…