Nimetoa mfano wa Mwananyamala kwa kopa ambapo nikiwa naelekea nikakuta turubai katikati ya barabara. Mita zisizozidi MIA pana uwanja kwa nini sherehe isifanywe uwanjani ?
Wamewaka turubai na kuziba barabara wakati waliokaa kwenye mikeka ndani ya turubai watu watatu tu.
usitoe kauli usizokuwa unaupeo wa kutatua jambo zaid ya kutangaza chuk na ghiriba angalia pia ufinyu wa maeneo nani anapenda kufunga barabara? kwani hizo mambo mikoani zipo? kama zipo ni chache kutokana na eneo husika lilivyofinyu sasa kila mtu anawaza kwenda dar hayo maeneo ya shughuli yanapatikana wap?
Mkihamia miji ya watu,mheshimu taratibu za miji husika.Iwe pande yoyote ile au mpagani kufunga barabara sio vizuri kwanini wasiende sehemu nyingine uko.
Mkihamia miji ya watu,mheshimu taratibu za miji husika.
Mzaliwa wa mji husika,asingeshangaa,angeona ni jambo la kawaida.Barabara ukiona imefungwa ujuwe imeombewa kibali.
Mkihamia miji ya watu,mheshimu taratibu za miji husika.
Mzaliwa wa mji husika,asingeshangaa,angeona ni jambo la kawaida.Barabara ukiona imefungwa ujuwe imeombewa kibali.
Iwe pande yoyote ile au mpagani kufunga barabara sio vizuri kwanini wasiende sehemu nyingine uko.
Point ni kuwa msizibe barabara hata mkiwa watu 100 hio ni public road kila mtu akifanya kama hivyo tutapita wapi?!
Mnahamia miji ya watu,halafu mwataka leta ujuwaji.Kila sehemu kuna utaratibu wake.
Ukishindwa na utaratibu wa eneo husika,hama rudi kwenu maporini.
Wewe utakuwa hujatembea kwenye miji tofauti tofauti,sehemu nyingi za bara wanapokuwa na matambiko yao,au shughuli zozote za kimila,maeneo hayo ya nje kidogo ya mji,hakuruhusiwi wasiohusika kupita au kufika maeneo hayo.Nadhani kuhamia sehemu flani au mji hakuhalilishi kufunga barabara ndo mana huwa kuna maeneo yaliyotengwa maalumu. Na sio kugeuza barabara eti kwa kisingizio sijui mji wa wote kwanza ukiwa Mtanzania unaruhusiwa kuishi popote pale. Sasa hyo ya uenyeji haina mashiko kwangu.
Wewe utakuwa hujatembea kwenye miji tofauti tofauti,sehemu nyingi za bara wanapokuwa na matambiko yao,au shughuli zozote za kimila,maeneo hayo ya nje kidogo ya mji,hakuruhusiwi wasiohusika kupita au kufika maeneo hayo.
Kila watu wana mila na desturi zao,lazima tuvumiliane.Ni sawa kukaa kwenye bus kiti kimoja na mtu wa kabila sio lako,na kuongea na simu kikwao kwa kelele.Yaani kufunga mitaa ni utaratibu wa sehemu! Acha kujitoa ufahamu.