...sasa kwakuwa Kanisa halifanyi basi na wengine wasifanye !?............. Wagalatia mna nongwa sana !
Ijumaa ni siku ya jamaa, siku ya pamoja, siku ya kuonyesha umoja wa Waislaam, siku ya kukutana Waislaam wa sehemu mbali mbali mahali pamoja !
View attachment 252210
Where can you get this kind of gathering ! ....tena hawa wamekusanyika bila ya ushawishi wa 'viwete watatembea na vipofu wataona' ! Kimbley
...sasa kwakuwa Kanisa halifanyi basi na wengine wasifanye !?............. Wagalatia mna nongwa sana !
Ijumaa ni siku ya jamaa, siku ya pamoja, siku ya kuonyesha umoja wa Waislaam, siku ya kukutana Waislaam wa sehemu mbali mbali mahali pamoja !
View attachment 252210
Where can you get this kind of gathering ! ....tena hawa wamekusanyika bila ya ushawishi wa 'viwete watatembea na vipofu wataona' ! Kimbley
Luxembourg ni nchi ndogo kama asilimia 50 tu ya Tanzania ,lakini ni Tajiri zaidi kimaisha Kupita nchi zote za bara la ulaya. Ambapo kila mwananchi anavuna wastani wa shilingi milion 160 kwa mwaka.
Lakini waziri mkuu wa nchi hiyo ambaye ni mwanaume amemuoa mwanaume Mwenzake, na Kuwa mwanasiasa wa kwanza kuoa shoga.
radika
Point ni kuwa msizibe barabara hata mkiwa watu 100 hiyo ni public road. Kila mtu akifanya kama hivyo tutapita wapi?!
Umeshasema DHARULA!!haya hebu niambie hizo dharula ni zipi??
uelewa wako ni mdogo ! ........... ni jeuri ya kidunia inakusumbua, kwani hakuna mahali kuna mtu kashindwa kufika atakako kwenda kisa waislaam wamefunga njia !
Basi tuu...roho inakuuma na chuki kuwaona Waislaam wanafanya ibada .....tena ibada ya dakika 45 tu !
Ina uhusiano gani na kufunga mtaa???
...........utawaweza Wagalatia kwa nongwa ! :A S-rap:
wazee wa mzizima wanajua chimbuko lao na kwa nn wanafanya hivyo ila tuliokulia bara tutapata shida sna na waliokulia mzizima na sio wahamiaji kwao kawaida mradi maisha yanasonga
Mkihamia miji ya watu,mheshimu taratibu za miji husika.
Mzaliwa wa mji husika,asingeshangaa,angeona ni jambo la kawaida.Barabara ukiona imefungwa ujuwe imeombewa kibali.
kaka hiyo ndio Dar al islam= The house of submission or Islamic world.
kama vipi njoo huku Sumba wanga= Tupa uchawi hakunaga hayo
Inawezekana Mleta mada utakuwaw umepita pale Kariakoo Mtaa wa Mchikichini karibu na Benk ya Boa kwenye mitaa ya maduka ya Vyombo. Maana daaah mtaa huo huwa wanajifungia tu barabala utafikiri walihangia hata mia kwa uwepo wake..!!!!
BACK TANGANYIKA
Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...
Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...
Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.