kufunga mitaa ni utamaduni wetu anayeona kero aende kwao sisi hatutakuja huko
Lazima utafakari upya mkuu, Public public ndo kitu gani hivi vitu vimewakuta watu na ainaUtamaduni wenu na nani? Hivi mnafikiri kwa kutumia nini? Barabara ni za public na sio kwa ajili ya shughuli binafsi kama sala au harusi. Hivi kila mtu akiamua kufanya anavyotaka hii nchi itaenda kweli?
Umesema mawazo yangu kabisa..!Utamaduni wenu na nani? Hivi mnafikiri kwa kutumia nini? Barabara ni za public na sio kwa ajili ya shughuli binafsi kama sala au harusi. Hivi kila mtu akiamua kufanya anavyotaka hii nchi itaenda kweli?
Ushapita mtaa wa magila na likoma kariakoo siku ya jumapili nzima haupitiki,,hakuna anaelalalamika kuna maduka watu wanalipa kodi pale,jifunze kupitezea mambo mengineUtamaduni wenu na nani? Hivi mnafikiri kwa kutumia nini? Barabara ni za public na sio kwa ajili ya shughuli binafsi kama sala au harusi. Hivi kila mtu akiamua kufanya anavyotaka hii nchi itaenda kweli?
Utamaduni wenu na nani? Hivi mnafikiri kwa kutumia nini? Barabara ni za public na sio kwa ajili ya shughuli binafsi kama sala au harusi. Hivi kila mtu akiamua kufanya anavyotaka hii nchi itaenda kweli?
rudia mabishano yetu yote kwa ufasaha,utagundua kama naelewa kinachoendelea au sielewi
Umesema mawazo yangu kabisa..!
Utamaduni wenu na nani? Hivi mnafikiri kwa kutumia nini? Barabara ni za public na sio kwa ajili ya shughuli binafsi kama sala au harusi. Hivi kila mtu akiamua kufanya anavyotaka hii nchi itaenda kweli?
Haujui maana ya binafsi, kaa kimya
StaminaHili jambo lilikuwa linanikera muda mrefu sana hasa maeneo ya kariakoo, barabara ni mali ya umma wote sio Dini Fulani,,,
Ndio hiyo unayoiita Dar es salaaam baada ya kushindwa kutamka Dar al islam.
Kama vile unavyoshindwa kutamka Temeke wireless unasema Temeke wailesi
Kampuni binafsi inayomilikiwa na wanahisa maana yake nini..?!Haujui maana ya binafsi, kaa kimya
Na wewe kwa akili ya Kigalatia neno "Public" unadhani linawahusu Wagalatia tu!
Na Aliyekwambia SALA YA JUMUIA ni Shughuli Binafsi ni Nani? We umekula maharagwe gani leo?
Muslims are members of the Public too. Au hilo ulikuwa hujaambiwa na Askofu wako?
Chuki zenu za kike mtakuja zaa bila kupanga.
Shauri yako.
Ushapita mtaa wa magila na likoma kariakoo siku ya jumapili nzima haupitiki,,hakuna anaelalalamika kuna maduka watu wanalipa kodi pale,jifunze kupitezea mambo mengine
Binafsi ni wewe na mkeo, na ndio maana mnakuwa chumbani !.........chochote kifanywacho hadharani na kikaleta mkusanyiko (hadhira !) hiyo ndio 'Public' ! Eli79
Hivi unaelewa nilichoandika au umekurupushwa na mkeo katika ndoto nyevu??. Ni wapi umeona nikiwasema waislam na kusimama upande wa wakristo? Hivi huwa mnatumia hata 5% ya uwezo wa akili zenu?
Tatizo la "noise pollution" linasababishwa na makundi mengi zikiwemo sect mbalimbali za dini na makundi mengine ya kijamii. Kufunga mitaa kisa kusali, mihadhara ya kidini na vikundi vingine visivyo rasmi ni tatizo kubwa. Naona hapa kila anayejiota muislam analowa jasho while sio waislam pekee wanaosababoisha haya. Exposure nayo ni tatizo naona...pole!!
Pita mitaa ya kko siku za mwisho wa week kama jana..
Hivi ni wapi nimeainisha mrengo wa imani yangu katika hoja yangu? Au ni upofu katika kufikiri kwako ndio unakusumbua? Kwa hayo niliyoandika unafikia vipi hitimisho kuwa mimi mkristo na sio m'budha au muislam?
Hii inaonyesha jinsi gani hata upeo wako wa kufikiri na kuchanganua hoja upo chini, I wouldn't waste a minute with you brethren...
..........Waislaam wao sio Public !?...........hivi kukiwa na kampeni ya CCM au CHADEMA pia wao sio Public !?
Chuki zenu zimewatia upofu !