Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?



wewe mwehu kama zimeletwa na mzungu au mwarabu mbona wewe una fuata anzisha yako basi wewe mbululaa
 

hakuna utamaduni kama huo bwana huu utakuwa ni uchanga wa kifikra mbona developed countries hakuna hayo na ndio walio leta hzo dini
 

hakuna utamaduni kama huo bwana huu utakuwa ni uchanga wa kifikra mbona developed countries hakuna hayo na ndio walio leta hzo dini

Hapo juu kabisa hiyo ni Ulaya ! Jairos
 
Last edited by a moderator:
Huwa wanalipa kodi peke yao, hivi azania front nao waseme wafunge njia kila siku ya ibada tutaishi....?
 

Vp wakristo wanaotumia majengo ya umma (shule-hospitali n.k) kufanyia ibada.

......Hilo swali FRANCIS DA DON hajajiandaa !.......labda umletee mwakani ndio atalijibu. Kwa sasa anajuta kuuanzisha huu uzi ! moondampwani :becky:
 
Last edited by a moderator:
wapi nimetaja waislam au wakristo
 
Hali inaelekea kuwa mbaya sana leo maeneo mbali mbali ya Dar..
 
We kama unaona kero rudi kwenu bara

Kristi Bara au pwani sio hoja, hapa hoja ni kwamba ustaarabu ni kitu cheap sana na affordable kwa kila mtu. ibada ya dini yangu isiwazuie wengine kufanya mambo yao ya msingi. Hii pwani imejengwa na watu wa Bara wa huku mlikutwa mnacheza vigodolo ndo maana hata kufikiria kuko chini sana
 
Imani yako si sahihi kuifanya kua kero kwa asie iamini.
imani zenyewe zimetokea mbali,zikaletwa kwa malengo kadhaa.
 
K/koo ndio wenye tabia hiyo yakufunga Barabara kwa ajili ya kufturu washenzi Sana hao slam wangefturu misikitini ndani sio kutupa kero sisi mbona sisi wakristo tukifunga tunafturu ndani
 
Upuuzi mtupu, hiyo kodi unalipa peke yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…