Ni haki kusoma message kwenye simu ya mpenzi wako?

mkiijua maana ya kuwa mwili mmoja hakuna shida. ila changia mada hii kama unaelewa maisha ya sasa yalivyo pamoja na matukio kwa ujumla siamini kama utaona mkeo au mumeo anachati na mwanamke au mwanaume mwingine na wewe unaacha kisa eti utaonekana una wivu lol.huoni ufinyu wa kuelewa nini maana ya ndoa??? bt 4 me nkioa ntakuwa huru na cm ya mke wangu hata yeye awe nayo huru tu kwani unatakiwa kujua kuwa cm ndo sehemu kubwa inachangia watu kutokuwa waamnifu katika ndoa na cm ndo zimefanya watu wengi sana kufumania waume na wake zao kwenye gest na sehemu za starehe .
 
Kaa na simu yako acha upekupeku huo
 
Uko sawa kabisaa. Mimi sipekui simu ya mume wangu often lakini sioni ubaya kufanya hivyo kwani mume na mke hamna kuwekeana limits. Siku nikijisikia kupekua napekua mbele yake. Why pretend that we don't care huku rohoni naugulia. Nataka niwajua rafiki za mume wangu woote, wakike na wakiume. Nataka nijue nani anamtania mume wangu. SIsi ni mwili mmoja bana.

My take. Utani lazima uwe na limit iwe maofisini au mahala popote hasa kwa wanandoa. Mimi ukimtumia mume wangu meseji ilopitiliza nakutoa nishai LIVE.
Mimi ndio mother house bwana kwa nini niwe mnyonge na kuacha watu wajizoeleshe kwa mR

 
Kwa siku mara ngapi utakuwa unaangalia msg zake?Kama mtu anataka kukudanganya kwenye uhusiano hata usome msg zake masaa 24 atakudanganya tu.


Si haki yako kusoma msg zake kama yeye binafsi anataka usome atakupa usome lakini sio haki yako.


Kuna wivu mwingine unakuwa kero na huu ni mmoja wapo.
 
 
ahsante ,ni kawaida tu kwangu kua mpumbavu, gud ww mwerevu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…