Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Kwa hiyo huyo binti ana haki ya kumpiga mama wa bf wake?
Yani kama mimi ndo angenipiga, haki ya Mungu huyo binti asahau ndoa......katu asingeolewa na mwanangu,ningeitisha vikao hadi vya ngazi ya taifa kuhakikisha huyo binti haingii kwenye mji wangu. Hata kama nina madhaifu hapaswi kunipiga......
wengine hufikiria kwa kutumia masaburi .... huyu dada hakuwa anaelewa anachofanya angeelewa kwamba anajifungia milango ya riziki asingekuwa na uthubutu
Thats why I said she is so careless, alijiangalia tu for that time ana uwezo wa kufanya nini ila hakuangalia anafanya kwa nani na kwa effects zipi zitakazompata. Katibu ugonjwa mmoja kwa kuibua maradhi mia moja!
hivi mamaako akikosa ndo unaruhusa ya kumpiga Kweli?
Huyo mwanaume nimemtoa thamani na girlfriend wake! No wonder hata mama yake kakosewa adabu mbele yake na ndo maana pia hata huyo mamaake anamfanyia huo upuuzi.
Ndo hapo sasa!! Kwa kweli hapo wote watatu wamekutana.kama mama yake akikosa anamhukumu hivyo je siku huyo mcharuko wake ukikosa atafanyaje???
Huyo mama hana watoto wengine eeh. Maana am trying to imagine kibinti kimpige hata kibao mama yetu no matter amefanya nini atajua kuwa maharage si mbonga.
Mwenye kosa hapo juu ni jamaa kuruhusu mama yake kudhalilishwa.