Ni haki na usahihi kufundisha fasihi ya kiswahili kwa kutumia luhga ya kiingereza?

Ni haki na usahihi kufundisha fasihi ya kiswahili kwa kutumia luhga ya kiingereza?

kehongo

Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
42
Reaction score
8
Ngudu wadau wa Lugha ya kiswahili,ninaomba kupata maoni yenu kuhusu mada tajwa hapo juuu,
Ninasikitishwa na kitendo cha Baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini kufundisha lugha ya kiswahili kwa kutumia lugha ya kiingereza,jambo hili linafanyika katika ngazi ya Shahada na Shahada ya uzamili,mfano chuo kimoja Wahadhiri wanafundisha Fasihi ya kiswahili kwa lugha ya kiingereza sasa wadau najiuliza
1.Kuna sababu ya msingi kufundisha Lugha ya kiswahili kwa kiingereza?
2.kuna umhimu wa kufundisha fasihi ya kiswahili kwa kiingereza?
3.je mtu anaweza kusoma na kuandika Riwaya,Tamthiliya na Ushairi wa kiswahili bila kusoma sarufi ya kiswahili kwa kina?
 
Back
Top Bottom