Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Na kwa safu ya uongozi na wagombea uongozi wake kwenye ngazi ya urais na umakamu wa Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar,
Ni wazi CCM madhubuti imejipanga vizuri mapema kabisa kwa makusudi ili kushinda nafasi hizo kwa kishindo kikuu Oct 2025.
CCM inaamnika,
CCM inakubalika kwa wote, CCM imejipanga kushinda uchaguzi kwa kishindo, CCM imejipanga kushika dola, kuunda serikali na kuongeza nchi, lakini pia CCM ni ya waTanzania wote.
Hongera wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM taifaa kwa kauli moja, kuridhia utaratubu huu wa kistaarabu katika muda wa mapema zaidi ukilinganisha na vipindi vingine.
Hongera Dr.Samia Suluhu Hassan mgombea urasi na Dr Emmanuel Nchimbi mgombea mwenza wa urasi wa JMT, na hongera sana Dr.Hussen Alli Mwinyi kua mgombea urasi wa Zanzibar.🐒
Kidumu chama cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania