Ni halali kulala na housegirl?

Kama alitongoza pasipo house girl kushurutishwa nae house girl ana haki ya kupata kitu roho inapenda kwa mujibu wa katiba.
 
Muulize huyo jamaa mke wake akiliwa na shamba boy itakuwaje, ni raha pia au? Maana tuangalie pande zote zote

Umenena haswa!! Wife akiamua kutoka na dreva, shambaboy wake itakuwaje ? Nakumbuka ofisi moja niliyofanya kazi kulikuwa na tuhuma nyingi za watu kutembea na masekretari wao, ili kuineutralize wazee wakasema na sisi tunatembea na madereva wetu..too low!
 
Kama alitongoza pasipo house girl kushurutishwa nae house girl ana haki ya kupata kitu roho inapenda kwa mujibu wa katiba.


Khaa, kwa mujibu wa katiba. Nimechoka DaMie
 
Ni aibu sana house gilr ni kama mtoto wako. Siyo kwa sababu anashida ya kazi ndiyo ufanye naye mapenzi. Halafu tangu lini kuiba ikawa halali? Mpe heshima mkeo naye atakuheshimu ndugu yangu..
 
hizi vitu nimeanza kupiga nina miaka 8
chapa mambo ilale
 
Anyway siyo kitu kizuri kucheat

Lakini msi redefine definition ya housegirl kwamba ni sawa na mtoto wako no!

Yule ni mfanyakazi anatakiwa aheshimiwe kwa kazi zake, si kufanya naye ngono

Kama umempenda fuata utaratibu nenda kwa wazee wake muoe ok!

Hata Ibrahim alimuoa kijakazi wake..
 
Mwisho wa siku atakuja kudakwa tu its just a matter of time! Either housegirl kupata mimba au jamaa kufumaniwa live. Mwisho wake huwa ni mbaya always..
 
Hivii housegirl sio mtu jamni maana naona baadhi ya coments zinawaponda sn! wapendeni jamni ni binadamu kama wengineo!! :redfaces:
 
Hv anakuwa amempenda huyo hg au ametamani, na kama ametamani kwann anarudia kufanya nae mapenzi mara2. Walaaniwe wote wafanyao ufedhuli huo
 

Heshima ni k2 cha bure sana,.unatembea na hg afu unatazamia she wil respect your wife?hata kwenda nje ya ndoa,heshma yako inashuka na ya mkeo ndo kabisa,anaonekana kama toyoyo infront of the ladies you r having affairs with..the same goes to the men.,ila honestly,married women have lots of thngz burried in their hearts,may God bless em..hujaskia hg,mara kwa jirani,mara yule!.
 
Ni UHAYAWANI, mtu wa karaba hii ndio wale wale wanamendea mabint zao, ni jipepo hilo
 
Hivii housegirl sio mtu jamni maana naona baadhi ya coments zinawaponda sn! wapendeni jamni ni binadamu kama wengineo!! :redfaces:

Maria unajua watu wanachukulia house girl kama punda hata punda mwenyewe huwa anashikwa na hamu.

Kama mnaona hastahili kumegwa na baba mwenye nyumba muwe mna mpa off siku za jmosi na j2 anatembelea ndugu huko huko na yeye atajipatia pumnziko la moyo
 
Si kwamba mke hajui naye anabonyezwa kajionea isiwe tabu! Shameless, baseless, useless gud 4 nothing man..
 
Jamaa ako hana Adabu hata robo...ngoja nayeye aje aliwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…